SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Umenisoma vizuri lakini??
Au umejishtukia Mkuu wangu??
Narudia tena nilichoandika hapa chini,

Huku ndio wanasemaga Muuzaji Feki,
Anakuja na babake Feki,
Na mashahidi wake Feki,
Wanakuja na Majirani kuhakiki mipaka ambao ni Feki,
Mnasainishiana kwa Serikali za Mitaa Ofisi Feki,
Mnamkuta Mwenyekiti Feki,
Unaandaliwa Documents za Mauziano ambazo ni Feki.

Mwisho wa siku zoezi zima linakua ni feki, only tu kwamba hela ulizolipa ndio Original.
Sijajushtukia ndg ila nimezungumza kwa kuwa umekomenti kwenye thread niliyoianzisha, sioni kama kuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema kama wewe ni tapeli ndugu yangu, tena shamba lako limepimwa ni vizuri zaidi itamsaidia mnunuzi kufuatilia uhalali wake.
Ila nilichoandika ni kua nilipata kusikia kua huko Bagamoyo kuna utapeli mkubwa sana wa mashamba. Nisamehe tu kwa ku-comment hivi kwenye uzi wako, naenda kufuta comment yangu nawe ufute yako pia. Isije ikakuharibia biashara
 
Usijali mkuu, we wala usifute acha hivyo hivyo hakuna shida

Kuwa na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.

Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.

Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379

Anzisha uzi wako mkuu! Huo ndio ustaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom