Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Wewe mwenye kazi zako, hii hujasave?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
yule dada kushoto asingepiga jeki ningeisave
 
Nina wafahamu wanawake wengi walikuwa na mbwembwe nyingi sana na mdomo haswa kweny makundi ya kusutana.

Ila walivyoolewa wamekuwa kimya yaani ukiwauliza wanakuambia "ule ulikuwa utoto"

Huwezi kuamini maana darasani walikuwa wanaporoka na kusutana daily na wenzao ..Sasa naona wapo kimya tena wapole.
 
Back
Top Bottom