Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Nina wafahamu wanawake wengi walikuwa na mbwembwe nyingi sana na mdomo haswa kweny makundi ya kusutana.

Ila walivyoolewa wamekuwa kimya yaani ukiwauliza wanakuambia "ule ulikuwa utoto"

Huwezi kuamini maana darasani walikuwa wanaporoka na kusutana daily na wenzao ..Sasa naona wapo kimya tena wapole.

Lile vagi tunaliamishia chumbani kwa waume zetu bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sifa Chache za Mcharuko...

1>Anakua na mazoea na wanaume bila mipaka...

2 >muda wowote analiwa muda huo wewe umejilaza kitandani kwako yeye yupo nje...

3>Maarufu kwa eneo analoishi kuliko hata Viongozi wa Eneo husika

4>Uwezo mdogo wa kutunza Siri

5>Unaweza kwenda Dukani kwa ishu yako nyingine..Utashangaa una ambiwa (mcharuko) wako anadeni la 60k na lina Mwezi mzima..na pesa huwa una mpa ya kutosha tu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kuna jini kisirani linajiita Munch wa annabelletz47 limeingia huku kudislike sijui linapigwa 065...?🤣🤣
1686651460708.png
 
Back
Top Bottom