Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Nina wafahamu wanawake wengi walikuwa na mbwembwe nyingi sana na mdomo haswa kweny makundi ya kusutana.

Ila walivyoolewa wamekuwa kimya yaani ukiwauliza wanakuambia "ule ulikuwa utoto"

Huwezi kuamini maana darasani walikuwa wanaporoka na kusutana daily na wenzao ..Sasa naona wapo kimya tena wapole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…