Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Kwa hiyo Bora tukio la mcharuko halistui au Sio?😆😆
kwa uzoefu wangu wacheshi wengi wana misimamo kuliko wakimya wengi wanaliwa kimya kimya.

Wacheshi ni wanawake watamu sana, kwanza kwenye tendo kelele na fujo zao zinanogesha sanaa
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji1787.png
Akipita hapa atatulaani
Tunajali basi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom