cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee ndo sio kimeo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni kimeo kwelikweli. Sitamani itokee hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ndo sio kimeo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni kimeo kwelikweli. Sitamani itokee hivyo
Subiri mdomo wake utakapo Anza kufunguka wa juu.Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.
Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.
Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:
1. Hawana kisirani sawa na wakimya
2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea
3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee[emoji28][emoji28]
4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote[emoji8][emoji8]
5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.
Ukimkoleza akakolea utasikia lamasabakitani kakalakaka babaaa yaani fujo fujo tuuu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.
Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa[emoji16][emoji16]
Uongooooo, hiyo ni uongooooo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madem micharuko so poa,UTI SUGU nje nje[emoji23]
Wee muache ajichanganyee hivyo hivyooo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana bwana mod’s we jichanganye km hujapigwa ban [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooooooh, atafidia juu kwa juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamkapa halafu unsmlipa ile kitu ee
Kula chuma hiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe tano sasa [emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie shemeji ajue,mwenzie alifeli hicho kipengele
Uduguuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii country akeeee.
Piga keleleee, woyoooooooooooooooooooooh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii country akeeee.
Piga keleleee, woyoooooooooooooooooooooh
nakutaka kimapenzi😁Niambie mshamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] penzi jipyaa na modes mchezoo, Pm kunawaka motooo, mara tsup, mara JF pm, mara anipigiee.
Hatariiiiiii
Kwan hapo natakiwa kupunguza mazoea na wanaume wa Jf, maana watapigwa ban balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alinijibu baada, eti napata wapi njaa na bandari inauzwa, kwa raha gan had njaa ije kiholela hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongooo??
Mnatakaa kunipaaa yupiii huyooo???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.
Wee ndo sio kimeo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]