Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.

Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.

Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:

1. Hawana kisirani sawa na wakimya

2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea

3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee[emoji28][emoji28]

4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote[emoji8][emoji8]

5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.

Ukimkoleza akakolea utasikia lamasabakitani kakalakaka babaaa yaani fujo fujo tuuu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.

Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa[emoji16][emoji16]
Una nyota ya Ukimwi. Kuwa makini!
 
Back
Top Bottom