Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 duuu Eve umejua kunichekesha...mimi tena nisijue?? Najuaaa best..ila vya mkwakwani havikua na msisimko..Haustahili kuchukiwa kay hiki kipindi unahitaji kupendwa kuliko wakati wowote, nakupenda🤣🤣🤣🤣....ila habari ya mkwakwani si unayo au nikupe