Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Haustahili kuchukiwa kay hiki kipindi unahitaji kupendwa kuliko wakati wowote, nakupenda🤣🤣🤣🤣....ila habari ya mkwakwani si unayo au nikupe
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 duuu Eve umejua kunichekesha...mimi tena nisijue?? Najuaaa best..ila vya mkwakwani havikua na msisimko..
 
Dada kwa kuwajaza mashemeji unayaweza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Lakini kweli mmetoka mbali nikikumbuka shemeji alivyokuwa anakuchukulia halafi leo amekuwa shemeji yetu acha tu tumjaze
 
Waswahili wanasema "wagombanao ndio wapatanao"
Wazungu wanasema"those who quarrel are those who make it up"
 
Nikikumbuka alivyokuwa ananizodoa sina hamu [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vibaya vyote nimefananishwa navyo afu hawala yake mmoja akawa anashadadia nachoka [emoji119][emoji119]
 
Na michezo ya FFM uache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena bro DeepPond ulikuwa unamsupport huyu shemejiyo khaaaaaa!!! [emoji119][emoji119] mnapeana na location za pa kuwavua
 
Nikikumbuka alivyokuwa ananizodoa sina hamu [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vibaya vyote nimefananishwa navyo afu hawala yake mmoja akawa anashadadia nachoka [emoji119][emoji119]
Kama Klaus and Caroline, baadae ikawa bonge ya couple
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe unaacha kupambania afya yako unatushauri sie wazima
Mbona niko poa tu. Wakenya ndio walizusha issue ya ICU ila sikuingia huko. I just isolated myself after testing positive!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa
Hivi na zile suti nani anakushonea mzee
 
Back
Top Bottom