Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Mtela Mwampamba kila siku huwa nakwambia wewe ni mtupu kichwani! Hivi unajua maana ya shitaka la kula njama?
Sasa kama ludovick alikula njama na lwakatare sasa utawatenganishaje mawakili wa lwakatare na ludovick? Pengine unajua kuandika lakini hujui kufikiri. Lwakatare atakaposhinda hiyo tuhuma ya kutuhuma ya kula njama basi na ludovick atakuwa huru!
Alaf unaonekana kujua mengi kwenye hili sakata ndio maana tunasema hii jeshi la polisi linatekeleza maagizo ya wanasiasa maana hata wewe na Juliana Shonza aliyejua ni sauti ya ludovick bila kumuona mlitakiwa kukamatwa na kuhojiwa!
Alaf ni wazi Dr slaa ana wapa shida sana maana kila leo una hangaika nae alaf yeye haangaiki kukujibu!

Last edited by a moderator: