Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Mtela Mwampamba kila siku huwa nakwambia wewe ni mtupu kichwani! Hivi unajua maana ya shitaka la kula njama?
Sasa kama ludovick alikula njama na lwakatare sasa utawatenganishaje mawakili wa lwakatare na ludovick? Pengine unajua kuandika lakini hujui kufikiri. Lwakatare atakaposhinda hiyo tuhuma ya kutuhuma ya kula njama basi na ludovick atakuwa huru!

Alaf unaonekana kujua mengi kwenye hili sakata ndio maana tunasema hii jeshi la polisi linatekeleza maagizo ya wanasiasa maana hata wewe na Juliana Shonza aliyejua ni sauti ya ludovick bila kumuona mlitakiwa kukamatwa na kuhojiwa!

Alaf ni wazi Dr slaa ana wapa shida sana maana kila leo una hangaika nae alaf yeye haangaiki kukujibu!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Usaliti ni tendo la ajabu na baya kuliko kitu chochote"Asante kwa kuisaliti Chadema"
 

Sehemu gani kasema kuwa Ludo ameshiriki huo mpango mchafu?
 
Ni vema kwakuwa unamfahamu vizuri LUDO. Je, LUDO alipata mafunzo gani maalum na wapi mpaka kumpelekea kuwa mlinzi wa Slaa?
 
Mag3 , Usihofu kuhusu mie kujibu kama verified user.
I AM LUKOSI, an ex cop and now mjasiriamali kwa hiyo sina sababu ya kuogopa mtu kwa sababu simkosei mtu.
Hayo majibu nimeyatoa toka moyoni mwangu na narudia tena ,, hakuna mtu anayetaka chadema ife bali tunataka upinzani wa kweli sio upinzani wa kuleta vurugu nchini na ukabila au udini. niliyaona hayo chadema na matatizo yao sio chadema kama chama bali viongozi wachache wa juu.
Ukitaka kujua huko kunba matatizo wee sema neno moja tu hapa uone matusi yatavyoshuka. sema hivi;..
ZITO KUGOMBEA URAIS CHADEMA halafu utaona kitakachofuata kutokea maeneo ya njiro.. kishimundu na Unga ltd
 
Maelezo yako yanaonyesha bado unabifu na Dr Slaa, duu pole sana kijana. Huwe unatuletea habari za chama chako cha Magamba hizi za makamanda ziache kama zilivyo!
 
Mkuu Mwampamba,

Nakushukuru sana kwa kututhibitishia kwamba hii kesi ya lwakatare ni ya kubambikwa kwa chuki tu, kwa maana kama chadema wangekuwa na mpango wa kudhulu watu wangekamatwa wanapanga kukudhulu wewe amabaye ni big threat kwao unajua siri nyingi kulingana na nafasi uliyokuwa unaishikilia ndani ya chama kabla hujatimuliwa.

Kwa maana hiyo hawana sababu ya kumfuata denis mwandishi wa mwananchi anayeandika habari alizopelekewa na watu kama wewe wakuache wewe, na kama unabisha ebu jaribu kufanya hivyo huko ccm uone kama utaishi hata nusu siku!
 
siasa za makundi zinaipeleka hii nchi pabaya,kila anaetaka uongozi wa juu anakuwa na kundi lake, kiukweli umo ndani ya chadema kuna kundi liko chali na jingine happy mbaya, kama ccm vile,wote ndio hao hao hakuna afadhali kwa kweli, ukombozi wa kweli tutausubiria sana
 
Huwezi kuaminika kwa sasa.
Hayo uliyosimulia usikute wewe ndio ilikuwa kazi yako.
 
Hujaanza kulia utalia sana, sijui unaendeleza biff na nani? Umepoteza kila kitu Chadema zungumzia CCM tutakuelewa

Tatizo ni kwamba,rwakatale au slaa atakapokana kumtambua Ludo basi mwapamba anaweza kuwa shahidi mahakamani kuprove kwamba wanajuana,hilo litakua tatizo kwa CDM.
Pia hawa mawakili kama watamtenga ludo huko mahakamani anaweza kufunguka yeye mwenyewe na kusema yote.
Isitoshe hao mawakili wasipomtetea ludo bado ni hasara sababu if ludo go down,rwaka go down,and if rwaka go down who knows he may open the can of worm,slaa or mbowe will go down.
 
Suala hapa anayoyaongea ni sahihi?ushabiki bila kufikiri utawaangamiza vija wengi siku hizi
 
Ni vema kwakuwa unamfahamu vizuri LUDO. Je, LUDO alipata mafunzo gani maalum na wapi mpaka kumpelekea kuwa mlinzi wa Slaa?

Mkuu,hilo alihitaji hata maswali mbona mabaunsa wa Billicanas club wanafanya kazi ya kuwalinda viongozi Chadema.Sasa ungejiuliza mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama (mtuhumiwa number moja) ana uwezo gani wa kimafunzo na utawala?
 
vijana mnatumika sana na vyama vya siasa TZ bado maisha yenu ni ya kuungaunga tu.KATAENI KUTUMIKA
 
Hizi story zenu (wewe na Shonza) kila siku ni dhidi ya Dr Slaa,inaonekana mlikuwa na ugomvi nae personal.Sijawahi kuwaona mkiikosoa CHADEMA kama chama
Dr Slaa ni tishio na hawa si wanatumiwa na maccm kumdhoofisha Dr Slaa, wanajua hawataweza tena kuchakachua kura, lakini Mwampamba akumbuke, atatumika kama condom na mwisho wa siku atajikuta kwenye shimo la taka au chooni.
 
Ni kijana umesoma lakini elimu yako inatia kinyaa huna hoja yenye mashiko pia umeonekana kutokuwa na msimamo katika ulingo wa siasa na chama, kama babako alifukuzwa huenda hakuwa na nidhamu ktkt jumuiya ile halikadhalika wewe mwenyewe, pia hujasema sababu za kufukuzwa kwenu cdm,tangu ufukuzwe una habari gani mpya kwa cdm? au ndo hizo zaifu kumbuka jana sio leo tupe maendeleo ya chama chako labda utakuwa na mashiko.
 
Well unaongea mengi kuhusu usaliti na nini.. ila wengi wajanja walishajua huyu Ludovick ni mmoja wa washiriki katika movie hii ya kihindi...Chadema wanajua wanachofanya ungekuwa kijana makini ungefanya kazi ya kuitazama CCM yako uliyoifuata na kuisaidia,kupiga kelele kuhusu Chadema unajisumbua bwana mdogo..Sana sana tutaendelea kukuona toilet paper ya mafisadi!! Bora unyamaze :shut-mouth::shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…