Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Hakupata mtoto mwingine maisha yake yote
......ok you were the only one to her life, ulikuwa ndo kila kitu kwake..... hata hivyo you are lucky na hongera kwa uchangia kitu fulani kwa mzazi wako hasa kuuguza...wengine kwenye maisha yao walikosa nafasi kuonesha upendo kwa wazazi wao wapendwa mpaka wanafariki.....so wanalia usiku na mchana wakitamani siku zirudi nyuma......
 
🙏🙏
Nimamshukuru Mungu kwa hilo alinipa kibali nifanye jambo kwa ajili ya my forever and endless love 💘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…