Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Hizo stress huwa zinasababishwa na nini? Maana stress huwa ni matokeo ya matukio ya nyuma ndio unakuja kuvuna stress
......watu wanataka kuihujumu couple hii mpya in early stages kabisa!!!....hii haikubaliki na sisi kama serikali tunatoa tamko kali kukemea....ikiwa Bi Nakadori na Bw Manyanza hawatakuwa pamoja wahusika watafungwa miaka miwili jela au kulipa faini ya million moja au vyote kwa pamoja.....
 
Kaka umezunguka sana sijamaliza hata paragraf ya kwanza ila niseme tu Nakadori tunaomba useme "Yes I Do" alafu kadi yangu niikute PM
 
Dah hyo kapo inaanzia wapi na inaishia wapi? Utanigombanisha na wa flirt wangu jaman.. 😅😅😅😅😅😅
....mmh hii sio taarifa nzuri Kwa mdau akiiona hapa, next time hizi taarifa za kusikitisha tupeane inbox tushauriane zaidi....
 
Back
Top Bottom