Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Kunasiku nilimuamkia binti mmoja "haujambo mchuma..[emoji39]" anatumia aidii ya foksi sjui fai ninihuko mbele.....
Aiseeeee..... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Unataka kutukanwa ?
[emoji1787]

Namheshimu sana dada mkubwa
 
Unataka kutukanwa ?
[emoji1787]

Namheshimu sana dada mkubwa
Nitamuomba samahani mkuu...🙏 kwa hali niliokua nayo usiku ule hata sijui nilikua namtaja nani walahi...😅
 
yaa Nisha muacha.ndio mana sasa hivi nachat nawewe tuu.so unaweza kunipa hio no?

😂 😂 😂 😂
Umenisikitisha sana Mkuu na negativity zako juu yangu kuhusu Nakadori. Endelea kuchat nae ili utimize malengo yako kwake
 
taja umli wako tujue sio porojo sawa? Mimi Niko 42 wewe?
Umri ni namba tu na nimekuambia humu JF Mimi ni Baba yako kipi haujaelewa?
kiuhalisia wewe utakuwa ni miaka 27 hauvuki 29 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom