Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Hahaha anajitahidi kusimama nae aonekane
awe anaanzisha thread zenye utata humu MMU mbona atasimama haraka sana humu mtandaoni. Lakini akumbuke Likes na Positive quotes zitampa faraja na Popularity mtandaoni tu sio kwenye maisha ya kawaida
 
awe anaanzisha thread zenye utata humu MMU mbona atasimama haraka sana humu mtandaoni. Lakini akumbuke Likes na Positive quotes zinampa faraja mtandaoni tu sio kwenye maisha ya kawaida
Hahahahqhq as if likes zinaongeza salio bank
 
Ni tatizo la Watu wengi sana hasa humu mitandaoni, mtu anakuwa na vitabia vya hovyo hovyo au anakuwa analeta uzi wenye utata atasifiwa na kupewa likes nyingi lakini kumbe haisaidii chochote. Kuna Dogo humuhumu kwenye jukwaa la Mpira nilikuwa nasoma post zake ni za matusi hasa zinalenga matusi ya kujichua na mambo mengine ya hovyo. Nikamwambia Dogo masturbation inakuharibu, video za Baikoko Yuotube na Ponography achana nazo. Huyo Dogo alinifuata PM akakiri kweli kabisa hiyo ndio michezo yake halafu yuko Chuo. Nadhani atakuwa amepunguza hiyo michezo na amekuwa raia mwema sana humu mitandaoni hata hana comments za maneno machafu tena
 
Wengine stress za maisha wanajikuta wako bitter
 
Hizo stress huwa zinasababishwa na nini? Maana stress huwa ni matokeo ya matukio ya nyuma ndio unakuja kuvuna stress
 
Back
Top Bottom