Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Karibu mkulima hodari
Asante mkuu...
Lakini kwa upekew nami nikupongeza japo kwa kuchelewa. Endelea na moyo huo na Mungu azibariki kazi za mikono yako wewe pamoja na familia yako.
Hongera sana kwa kuitunza heshma yako hapa Jf, ingawa wachache hawaja pendezwa lakini yote yapokee kama changa moto maana penye wengi hapakosi mengi.
Kila la kheri mkuu wangu..🤝
 
Amen amen amen amen
 
Mimi siyo fundi sana wa hesabu ila siku zote 'probability ni 50% by 50%.'

Yote yanawezekana. Huenda nimemchukulia poa lkn pia inawezekana ameishiwa mbinu akaamua aje kivingine. Maisha yanabadilika.

Wanawake ni viumbe vya ajabu sana. Ukimsifia hivi halafu ukute hajawahi kusifiwa hata na watu wanaofahamiana naye huko mtaani kwake, then jitu ambalo hata halimfahamu linajitokeza hadharani kumpamba namna hii; anaweza akamuona ni 'gentleman' sana kwamba mwamba kazimika na comments na posts zake tu [emoji28].. Sasa what if akimtia machoni [emoji16][emoji16].

Ni swala la muda tu mkuu, ni swala la muda [emoji3][emoji3]...
😆 😆 😆 😆
Mbona namjua vizuri tu nje ya humu JF, na ni mtu smart sana na kuna baadhi ya kazi zake huwa namfanyia. Na nje ya JF huwa tunazungumza mambo tofauti kabisa na tena ni moja ya watu wenye vision kubwa sana. Nilichokiandika na kuanzisha huu uzi ni jinsi vile ninavyomjua humu JF hasa kwenye jukwaa la MMU. Yote kwa yote hakuna linaloshindikana kwa sababu hapa duniani kila jambo lilishapangwa na muumba hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya.
 
noo.nimeona jamaa kataja mazuri yako tuu.ndio na Mimi nikaja na baya lako mojatuu Kati ya elfu
Nimeandika ninavyomjua humu JF, mbona unakuwa unashindwa kutofautisha na kuelewa maana ya kile nilichokiandika? Na movie itaendelea tu Mimi na Nakadori na nyinyi wenye hisia hasi mtaendelea kuchonga sana 😆😆😆😆
 
😆😆😆😆🙌🙌
 
acha nyege wewe.ndio uniimbie taarabu sasa?angalia utaliwa tako Hilo ohooo....
 
Hawa niwajinga huwenda Hilo jamaa linamtaka ndio Mana limeleta ushubwada wake.au binti anasaka atenshen.

ila nimalaya tuu Hana lolote
Kama sisi ni Wajinga na wewe ndio mwenyekiti wetu aisee, halafu hii ni Social Network Mkuu, mbona unakaza sana misuli ya ubongo? Easy and Breath Dude
 
😆 😆 😆 😆
Mbona namjua vizuri tu nje ya humu JF, na ni mtu smart sana na kuna baadhi ya kazi zake huwa namfanyia. Na nje ya JF huwa tunazungumza mambo tofauti kabisa na tena ni moja ya watu wenye vision kubwa sana. Nilichokiandika na kuanzisha huu uzi ni jinsi vile ninavyomjua humu JF hasa kwenye jukwaa la MMU. Yote kwa yote hakuna linaloshindikana kwa sababu hapa duniani kila jambo lilishapangwa na muumba hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya.
😅😅😅😅😅
Wenzio hawapendi voo
 
acha nyege wewe.ndio uniimbie taarabu sasa?angalia utaliwa tako Hilo ohooo....
Uzuri wa Maisha yako unatokana na wewe mwenyewe na Personality yako. Sasa hasira na maneno machafu ya nini humu MMU. Matusi peleka kwenye majukwaa ya Simba na Yanga sio humu kwenye jukwaa la Marafiki na Mahusiano
 
Kama sisi ni Wajinga na wewe ndio mwenyekiti wetu aisee, halafu hii ni Social Network Mkuu, mbona unakaza sana misuli ya ubongo? Easy and Breath Dude
dogo kwani umeamkia wapi?mbona taarabu nyingi sana?

weendio hadija kopa Nini?
 
Back
Top Bottom