Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
......ok you were the only one to her life, ulikuwa ndo kila kitu kwake..... hata hivyo you are lucky na hongera kwa uchangia kitu fulani kwa mzazi wako hasa kuuguza...wengine kwenye maisha yao walikosa nafasi kuonesha upendo kwa wazazi wao wapendwa mpaka wanafariki.....so wanalia usiku na mchana wakitamani siku zirudi nyuma......Hakupata mtoto mwingine maisha yake yote