To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sawa meacha🤭Acha Ufaller basi nitakuweka Kikaangoni na maswali chonganishi 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa meacha🤭Acha Ufaller basi nitakuweka Kikaangoni na maswali chonganishi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Acha kuongopa mkuuUkiona dem kapiga hii sarakasi miguu juu kwa emoj ujue ana hamu🤣
Kwani huna?🤣🤣🤣Acha kuongopa mkuu
Yaan nipo ....Yaan daaaKwani huna?
Unataka tiba sio?Yaan nipo ....Yaan daaa
Kuna mwamba atanikunja baadaye.... Usiku utakuwa mfupi huu🥳Unataka tiba sio?
Sawa mkuusawasawa Mwana Ukome kuchezea Wakongwe 😂😂😂😂
Inaenda kuumia au kupata raha?Kuna mbususu inaenda kuumia soon.
Kwalipi sasa? 😂😂Ninakuudhi mpendwa?
Swali la kwanza : waheshimiane waache matusi.... lakini pia its a free world andika mtizamo wako...usiwe fakeNawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa anazileta humu kwenye jukwaa letu pendwa naweza kumuita The Queen of MMU 👑👑👑. Wapo wengi sana ambao natamani kuwaelezea kwa jinsi vile ninavyowajua akiwemo Unique Flower , To yeye , Glenn , Lovelovie , Kapeace na wengine wengi Wanaume orodha ni ndefu na siwezi kuwatag wote hapa lakini kwa jinsi nitakavyokuwa na muda nitakuwa nawaelezea. Huu ni mtazamo wangu kutokana na Posts, reactions na threads ambazo Members wa JF huwa wanaziweka na kuzipata.
Miss Nakadori ni mtu anayependa kila member humu awe na rafiki na kwa hili hata Mimi nalipenda pia kwa sababu kupitia hili jukwaa nimeshapita marafiki wengi tu na huwa tunawasiliana na kupeana ishu za hapa na pale, Vile vile Miss Nakadori ni mtu ambaye hapendi maneno magumu kama ya kwenye jukwaa la Siasa na Dini 😂😂😂, Nakadori wa humu MMU ni mtu ambaye huwa hapendi kujibu maneno yenye kukera hata kama itatokea kuna Member atakuwa amem quote na kumuandikia maneno magumu. Jingine ambazo sio serious sana Nakadori hata kama nitaingia JF saa 8 usiku nitamkuta yupo online ana view forums list 🤣🤣🤣. Nakadori kwenye suala la Feminism nimemuona kama ni mtu ambaye yupo 50/50 mpaka wakati huu sijaelewa mtazamo wake uko wapi, Na vilevile Nakadori huwa ana maoni yake kuhusu Wanaume kuelekea Wanawake na maoni yake huwa nayakubali yaani Mwanamume ukipenda Mwanamke jiamini mfuate huyo Mwanamke myajenge haijalishi atakuwa ni nani, ana hadhi gani na ni mrembo kiasi gani ( Msisitizo ni Mwanamume Play your part as a Man not like a Boy). Nina maswali kwa Nakadori hasa kuhusu thread zake za wiki mbili zilizopita kuhusu Wanaume maana alileta uzi kuhusu Wanaume wenye Vipara na Wanaume wenye ndevu .
MASWALI YANGU KWAKO NAKADORI
Naamini ukiwa kama The Queen of MMU kwa mtazamo wangu utanijibu maswali yangu.
1. Ni kitu gani ambacho unakisisitiza kwa Members wa JF hususa hili jukwaa la MMU?
2. Ni kwanini maoni yako kuhusu Feminism huwa yana balansi hayaegamii upande wowote?
3. Hivi ni kweli kwa mtazamo wako Wanaume wenye Vipara halisi na ndefu wana mvuto kwa Wanawake ukiwemo wewe mwenyewe?
4. Je Umeshawahi kuwa na urafiki Member yoyote wa kiume humu JF na ukasababisha mahusiano ya kimapenzi?
Je??
a). Kama uhusiano ulishawahi kuwepo ulianzaje? I mean Mlianzaje? na katika mazingira yapi? Ukiachana na mawasiliano ya PM
b). Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na Member wa JF , Je siku ya kwanza mnaonana What was your first impression?
c). Mahusiano yapo yanaendelea au yalishakufa ?
d). Kama Mahusiano bado yapo yanaendelea kuna nini una experience kutoka kwa Partner wako?
e). Kama bado mpo katika mahusiano je unawaza kuwa huyo ndio atakuwa life partner wako For better or for worse?
e). Kama mahusiano yapo On Je unafuraha na huyo Partner wako na unamuona ndio chaguo lako au ndio Mwanaume wa ndoto yako?
f). Kama Mahusiano yalishakufa, Kipi kilichopelekea mahusiano kuvunjika? , Je matarajio yako hayakuwa sahihi?, Tabia ndio zilizo sababisha kuvunjika kwa mahusiano ? ( Ni tabia zipi hizo ?),
g). Kama upo Single , je unaweza ukaelezea ni tabia zipi au Mwonekano upi wa Mwanaume unayemhitaji?
Karibu sana Nakadori , Upo kikangooni naomba ushirikiano wako kwa Mustakabali wa Jukwaa letu pendwa MMU
Nawasilisha
Basi endelea kuwepo nafurahia uwepo wako sanaKwalipi sasa? 😂😂
No kukunjana tu mkuuamri ya 6.❌❌❌
😌😌😌
Afu thread hanihusu mie....kwaheri mkuuMbona umekuwa na adabu ghafla ??? 🤣🤣🤣
Swali la 4: dah nikiwa mkweli marafiki ninao wengi sana wa kiume hapa jf ila wengi imeishia kwenye flirting na sio zaidi ya hapo.Nawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa anazileta humu kwenye jukwaa letu pendwa naweza kumuita The Queen of MMU 👑👑👑. Wapo wengi sana ambao natamani kuwaelezea kwa jinsi vile ninavyowajua akiwemo Unique Flower , To yeye , Glenn , Lovelovie , Kapeace na wengine wengi Wanaume orodha ni ndefu na siwezi kuwatag wote hapa lakini kwa jinsi nitakavyokuwa na muda nitakuwa nawaelezea. Huu ni mtazamo wangu kutokana na Posts, reactions na threads ambazo Members wa JF huwa wanaziweka na kuzipata.
Miss Nakadori ni mtu anayependa kila member humu awe na rafiki na kwa hili hata Mimi nalipenda pia kwa sababu kupitia hili jukwaa nimeshapita marafiki wengi tu na huwa tunawasiliana na kupeana ishu za hapa na pale, Vile vile Miss Nakadori ni mtu ambaye hapendi maneno magumu kama ya kwenye jukwaa la Siasa na Dini 😂😂😂, Nakadori wa humu MMU ni mtu ambaye huwa hapendi kujibu maneno yenye kukera hata kama itatokea kuna Member atakuwa amem quote na kumuandikia maneno magumu. Jingine ambazo sio serious sana Nakadori hata kama nitaingia JF saa 8 usiku nitamkuta yupo online ana view forums list 🤣🤣🤣. Nakadori kwenye suala la Feminism nimemuona kama ni mtu ambaye yupo 50/50 mpaka wakati huu sijaelewa mtazamo wake uko wapi, Na vilevile Nakadori huwa ana maoni yake kuhusu Wanaume kuelekea Wanawake na maoni yake huwa nayakubali yaani Mwanamume ukipenda Mwanamke jiamini mfuate huyo Mwanamke myajenge haijalishi atakuwa ni nani, ana hadhi gani na ni mrembo kiasi gani ( Msisitizo ni Mwanamume Play your part as a Man not like a Boy). Nina maswali kwa Nakadori hasa kuhusu thread zake za wiki mbili zilizopita kuhusu Wanaume maana alileta uzi kuhusu Wanaume wenye Vipara na Wanaume wenye ndevu .
MASWALI YANGU KWAKO NAKADORI
Naamini ukiwa kama The Queen of MMU kwa mtazamo wangu utanijibu maswali yangu.
1. Ni kitu gani ambacho unakisisitiza kwa Members wa JF hususa hili jukwaa la MMU?
2. Ni kwanini maoni yako kuhusu Feminism huwa yana balansi hayaegamii upande wowote?
3. Hivi ni kweli kwa mtazamo wako Wanaume wenye Vipara halisi na ndefu wana mvuto kwa Wanawake ukiwemo wewe mwenyewe?
4. Je Umeshawahi kuwa na urafiki Member yoyote wa kiume humu JF na ukasababisha mahusiano ya kimapenzi?
Je??
a). Kama uhusiano ulishawahi kuwepo ulianzaje? I mean Mlianzaje? na katika mazingira yapi? Ukiachana na mawasiliano ya PM
b). Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na Member wa JF , Je siku ya kwanza mnaonana What was your first impression?
c). Mahusiano yapo yanaendelea au yalishakufa ?
d). Kama Mahusiano bado yapo yanaendelea kuna nini una experience kutoka kwa Partner wako?
e). Kama bado mpo katika mahusiano je unawaza kuwa huyo ndio atakuwa life partner wako For better or for worse?
e). Kama mahusiano yapo On Je unafuraha na huyo Partner wako na unamuona ndio chaguo lako au ndio Mwanaume wa ndoto yako?
f). Kama Mahusiano yalishakufa, Kipi kilichopelekea mahusiano kuvunjika? , Je matarajio yako hayakuwa sahihi?, Tabia ndio zilizo sababisha kuvunjika kwa mahusiano ? ( Ni tabia zipi hizo ?),
g). Kama upo Single , je unaweza ukaelezea ni tabia zipi au Mwonekano upi wa Mwanaume unayemhitaji?
Karibu sana Nakadori , Upo kikangooni naomba ushirikiano wako kwa Mustakabali wa Jukwaa letu pendwa MMU
Nawasilisha
Nipo hapa.. 😂Basi endelea kuwepo nafurahia uwepo wako sana