Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Hahaha kweli me mvivu sana wa kutoa like asee itabidi nijifunze jamanKwa humu ndani wewe ni last born unazijua sifa za lastborn lakini, mojawapo ni kudeka na unajua kudeka sana tu, ๐ kingine uache uvivu wa kutoa like,
Me mbona sidekii jaman