Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Swali la kwanza : waheshimiane waache matusi.... lakini pia its a free world andika mtizamo wako...usiwe fake

Swali la 2: wanaume na wanawake kimajukumu wanategemeana lakini pia hawafanani. Mwanamke ni mwanamke mwanaume ni mwanaume... hawawezi kuwa sawa... mwanaume hawezi beba mimba na kuna majukumu ya kiumeni mwanamke hayawezi kamwe. Mwanaume kama atasimama kwenye nafasi yake siku zote ni kiongozi na mwanamke ni muongozwa...( me naamini kwenye traditional roles za mwanamke na mwanaume).

Swali la 3: me mwanaume anayenivutia ni yule anayesimamia majukumu yake kwa kila idara. Yani mwanaume anayeweza kisimamia familia na anaweza kuwa na sauti kama baba au mwanaume.
 
Swali la 4: dah nikiwa mkweli marafiki ninao wengi sana wa kiume hapa jf ila wengi imeishia kwenye flirting na sio zaidi ya hapo.
Kwa JF nipo single ila kwa huko nje niko kwenye casual relationship.
Kuhusu swali la aina ya mwanaume ninayempennda nadhan nshakujibu hapo juu.
Nadhan nimekujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…