Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Huu utaratibu alikuwa nao Mkuu Daby .

Ilikuwa noma. Na member tulikuwa na nidhamu ya kutoandika chochote mpaka interview iishe. Host akishamaliza nasi tunaunga tela kuuliza maswali
Kuna jamaa flani nimesahau jina alikuwa na intervuew karibu kila siku...
Swali maarufu....( ulishawahi kufanya mapenzi sehemu gani hatarishi?...🤣🤣🤣
 
mbona nimeitwa sana kunani hapa??
niko namalizia kutafuta mkate wa siku nitarudi hapa maana sijui nitakuwa nimefumaniwa
........eeh bana eeh achana na mikate saizi chukua hata bagiaa tu!!.....tunakuhitaji haraka hapa na tunahitaji kauli yako, ni dharula tafadhali .....tunaomba ujali hisia zetu bana.....
 
Back
Top Bottom