Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Kuna mwamba atanikunja baadaye.... Usiku utakuwa mfupi huu[emoji3060]
Would've came back for you
I just needed time to do what I had to do
Caught in the life, I can't let it go
Whether that's right, I will never know
 
Mimi siyo fundi sana wa hesabu ila siku zote 'probability ni 50% by 50%.'

Yote yanawezekana. Huenda nimemchukulia poa lkn pia inawezekana ameishiwa mbinu akaamua aje kivingine. Maisha yanabadilika.

Wanawake ni viumbe vya ajabu sana. Ukimsifia hivi halafu ukute hajawahi kusifiwa hata na watu wanaofahamiana naye huko mtaani kwake, then jitu ambalo hata halimfahamu linajitokeza hadharani kumpamba namna hii; anaweza akamuona ni 'gentleman' sana kwamba mwamba kazimika na comments na posts zake tu [emoji28].. Sasa what if akimtia machoni [emoji16][emoji16].

Ni swala la muda tu mkuu, ni swala la muda [emoji3][emoji3]...
Inawezekana kwa wengine lakini nijuavyo Manyanza ana uwezo wa kujenga hoja hata kama angezama pm na kusema ya moyoni
 
Pole sana Nakadori msamehe mwanaume mwenzetu. Hata mm nishawahi kubakwa sio maramoja na mke ea kaka yangu yeye akiwa mtu mzima kabisa mm nafikiri nlikuwa na miaka kati ya 7 kurudi chini sikumbuki vizuri nlikuwa na umri gani ila nliexperience joto la K nikiwa mdogo sana.
Hivo ukiishi kwa kuwaza historia utaumia sana. Na nikiwa form three ama two nikawa nalazwa na mtoto wa kaka kwa mama mdogo huyo ndo ilikuwa fungulia mbwa coz ilikuwa nyumba ya chumba sebule chumba na imejitenga na tulikuwa tunalala 2 tu. Inshort tulipanga kutoroka tukaoane kabisa ila ilipovuja mm nikapelekwa boarding. Njoo na mm unitukane mkuu
 
😂😂😂😂😂😂
Me wala hainisumbui.
Ndo maana nkasema sina majuto maishani mwangu.
Kwanza hakuwa mjomba tumbo moja na mama bali ndugu kwenye ukoo.
 
Mkuu huenda uko sahihi lakini nijuavyo mimi...
Nakadori alifafanua kuwa hakuwa mjomba kabisa bali mtu mwenye undugu wa mbali kidogo na mamaye.

Kuna makabila binamu au mjomba kwao ruksa.
Sitetei bali nasema ninachokifahamu kidogo.

Kuna makabila kabla hujao binti unatakiwa umle mama mkwe aone kama utamfurahisha binti yake...huu ni utamaduni au mila za watu
Na wewe unajieleza kabisa
Me wala sina habari...
Yeye aniite majina yote me wala si shtuki.
Najua wazee wa ID za pili kwenye ubora wao
 
Back
Top Bottom