Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Nakubaliana na wewe kamanda kuna vitu siwezi himili kabisa..!!🙌
Mimi ni mkali hadi najiogopa but siku hizi unaweza kufanya lolote nabaki kukucheka kama vile hujaniudhi.

Jinsi unavyoongezeka umri kuna vitu unavishinda auto..
 
Mimi ni mkali hadi najiogopa but siku hizi unaweza kufanya lolote nabaki kukucheka kama vile hujaniudhi.

Jinsi unavyoongezeka umri kuna vitu unavishinda auto..
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe kamanda..!!🙏
 
NAONA UMEYAJIBU ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.
NAKARIBISHA MASWALI YENU KWA NAKADORI MEMBERS WA MMU
Jack Daniel , Glenn , sophy27 Kapeace
To yeye Dahan Depal mama D , DeepPond , Lovelovie , Palina , Unique Flower Mac Alpho na wengi wote ambao mtakuwa na maswali kwa Nakadori naomba maswali yeny yawe ya kiunungwana na yenye lugha ya adabu.
Cheers
Asante kwa nafasi mkuu... 😂😂😂
Madam Nakadori eti nini siri ya mafanikio ya kuwa queen 👑 member wa hapa mmu? 😂😂😂
 
1. Kwenye maisha yangu huwa sina Majuto kwa kuwa maamuzi yote ninayofanya nj kwa ajili ya furaha yangu.

2. Kumuuguza mama yangu tangu nikiwa first year hadi anafariki ndo jambo ambalo sijutii maisha. Alipata nafuu nzuri akaja kufa kwa ishu nyingine.... Na mama angu japo amepumzika lakini alikuwa ananiona namjali na kumpenda sana. Alijenga imani kiasi kwamba alikuwa haambiwi kitu kuhusu mimi.

3. Nahisi wapo maana kuna muda unakutana na ID inakutukana kama inakujua vile hadi najikuta nashangaa
..... honestly wazazi wetuhuwa hawakubali tu lakini kwenye malezi huwa kuna kaupendeleo fulani mtoto mojawapo(anakuwa mtoto wa pekee kwake)......so according to what you have said, I guess, to your mom jivunie kuwa you were the choosen one....rest in iternal peace our mom........
 
Hakupata mtoto mwingine maisha yake yote
 
Back
Top Bottom