Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Kuna mtu ataliwa kichwa muda si mrefu, ni swala la muda tu [emoji28][emoji28]

Ila watu wana akili nyingi sana aisee..wanatongoza kisasa sana. Akili nyingi, nguvu kidogo...[emoji2][emoji2]
 
Kuna jamaa flani nimesahau jina alikuwa na intervuew karibu kila siku...
Swali maarufu....( ulishawahi kufanya mapenzi sehemu gani hatarishi?...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwa anajiita DJ SEPETU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakadori
Una mtoto?
Kama unae kitu gani Kizuri unatamani mwanao ajifunze kutoka kwako?

Kama hauna unatarajia au unatamani kuwa mama wa aina gani?
 
Nashindwaje Mkuu ?
Heshima na urafiki ni muhimu sana kuliko Kimasihara
sometimes mihemko na tamaa za Kiboya huwa zinatuvuruga sana ngozi nyeusi 😆😆😆
Nafikiri ni mwisho wa upeo wa kufikiri
 
Nafikiri ni mwisho wa upeo wa kufikiri
Kabisa yaani, watu huwa hawasomi hata maandiko?
Yusuph alikuwa ni HB mpaka Mke wa Pharao akawa anamtamani sasa angekuwa na tamaa ya tunda, ndugu zake wote wangekufa na taifa la Israel lisingekuwepo nadhani, na ile njaa ya Misri ingeuwa watu wote
 
Nakadori
Una mtoto?
Kama unae kitu gani Kizuri unatamani mwanao ajifunze kutoka kwako?

Kama hauna unatarajia au unatamani kuwa mama wa aina gani?
Nina mtoto kupitia adoption tangu akiwa na mwaka.
Siku zote ninatamani awe mtiifu na anayesikiliza maelekezo lakini pia pamojq na umri wake mdogo atumie akili yake kupambanua mambo na kuwa mbunifu. Hata kama anaweza kunipinga basi anipinge kwa hoja na niko tayari kumsikiliza .
 
Kabisa yaani, watu huwa hawasomi hata maandiko?
Yusuph alikuwa ni HB mpaka Mke wa Pharao akawa anamtamani sasa angekuwa na tamaa ya tunda, ndugu zake wote wangekufa na taifa la Israel lisingekuwepo nadhani, na ile njaa ya Misri ingeuwa watu wote
Wabongo jinsia zote akili imejaa ngono.
Humu ukitaniana na jinsia tofauti zaidi ya wawili unabambikiwa kesi ya umalaya...
hawaamini mnaweza kucheka na mkabaki salama🤣🤣🤣

Hizo tuhuma nimezizoea sana...nafutwa hadi pm
 
Nina mtoto kupitia adoption tangu akiwa na mwaka.
Siku zote ninatamani awe mtiifu na anayesikiliza maelekezo lakini pia pamojq na umri wake mdogo atumie akili yake kupambanua mambo na kuwa mbunifu. Hata kama anaweza kunipinga basi anipinge kwa hoja na niko tayari kumsikiliza .
Asantesana Kwa majibu mazuri
La mwisho
Ndotoyako kubwa ni ipi unatamani utimize kabla kufikia uzee?

Ukipewa nafas ya kuchagua nchi ya Kuishi ulimwenguni ungependa ipi kulingana na mahitaji Yako ya kifikra na kimaisha?
 
1. Ndoto ni kuwa na kampuni kubwa ya maswala ya utalii ili niwe muajiri kupunguza tatizo la ajira tanzania
2. Canada is my future bae
 
Back
Top Bottom