Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
.......utatuvuruga sana leo bibie....Naombeni ruhusa nkakojoe (kumradh.... nikapunguze maji) kwanza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......utatuvuruga sana leo bibie....Naombeni ruhusa nkakojoe (kumradh.... nikapunguze maji) kwanza...
😆😆.......utatuvuruga sana leo bibie....
Nafikiri ni mwisho wa upeo wa kufikiriNashindwaje Mkuu ?
Heshima na urafiki ni muhimu sana kuliko Kimasihara
sometimes mihemko na tamaa za Kiboya huwa zinatuvuruga sana ngozi nyeusi 😆😆😆
Kabisa yaani, watu huwa hawasomi hata maandiko?Nafikiri ni mwisho wa upeo wa kufikiri
Nina mtoto kupitia adoption tangu akiwa na mwaka.Nakadori
Una mtoto?
Kama unae kitu gani Kizuri unatamani mwanao ajifunze kutoka kwako?
Kama hauna unatarajia au unatamani kuwa mama wa aina gani?
Wabongo jinsia zote akili imejaa ngono.Kabisa yaani, watu huwa hawasomi hata maandiko?
Yusuph alikuwa ni HB mpaka Mke wa Pharao akawa anamtamani sasa angekuwa na tamaa ya tunda, ndugu zake wote wangekufa na taifa la Israel lisingekuwepo nadhani, na ile njaa ya Misri ingeuwa watu wote
Asantesana Kwa majibu mazuriNina mtoto kupitia adoption tangu akiwa na mwaka.
Siku zote ninatamani awe mtiifu na anayesikiliza maelekezo lakini pia pamojq na umri wake mdogo atumie akili yake kupambanua mambo na kuwa mbunifu. Hata kama anaweza kunipinga basi anipinge kwa hoja na niko tayari kumsikiliza .
......Kwa hiyo watakutana kwenye jukwaa la wakubwa!!.....😂😂😂
Wanasema Mungu anakupa wa kufanana na wewe sivyo..??
Hivyo nikikutazama naona kabisa wako atakuwa Queen wa Jukwaa la Wakubwa..!!
🤩🤩NAONA UMEYAJIBU ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.
NAKARIBISHA MASWALI YENU KWA NAKADORI MEMBERS WA MMU
Jack Daniel , Glenn , sophy27 Kapeace
To yeye Dahan Depal mama D , DeepPond , Lovelovie , Palina , Unique Flower Mac Alpho na wengi wote ambao mtakuwa na maswali kwa Nakadori naomba maswali yeny yawe ya kiunungwana na yenye lugha ya adabu.
Cheers
1. Ndoto ni kuwa na kampuni kubwa ya maswala ya utalii ili niwe muajiri kupunguza tatizo la ajira tanzaniaAsantesana Kwa majibu mazuri
La mwisho
Ndotoyako kubwa ni ipi unatamani utimize kabla kufikia uzee?
Ukipewa nafas ya kuchagua nchi ya Kuishi ulimwenguni ungependa ipi kulingana na mahitaji Yako ya kifikra na kimaisha?
Nakubaliana na wewe kamanda kuna vitu siwezi himili kabisa..!!🙌Tatizo kamanda una roho ndogo sana😂