DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aisee Basi mkalitazame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is true kabisa1. Kwenye maisha yangu huwa sina Majuto kwa kuwa maamuzi yote ninayofanya nj kwa ajili ya furaha yangu.
2. Kumuuguza mama yangu tangu nikiwa first year hadi anafariki ndo jambo ambalo sijutii maisha. Alipata nafuu nzuri akaja kufa kwa ishu nyingine.... Na mama angu japo amepumzika lakini alikuwa ananiona namjali na kumpenda sana. Alijenga imani kiasi kwamba alikuwa haambiwi kitu kuhusu mimi.
3. Nahisi wapo maana kuna muda unakutana na ID inakutukana kama inakujua vile hadi najikuta nashangaa
😭😭🙏🙏It is true kabisa
Always the beauty of life grows through your personality.
Pole kwa kifo cha Mpendwa Mama yetu, Mungu amuweke mahali pema peponi, One Day You will meet her in Paradise
Sijawah kuwa na comments za hivyo mkuuNimesema endapo si wewe utanisamehe.
Hata hivyo JLW halipo Tena. Ningetafuta mpaka niupate huo uzi.
.....umeuliza maswali mazuri kama vile journalist tena wale investigative...good thou...Precious Baby
Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.
Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.
Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima 🍏
Nikiwa na mengine nitaendelea..
Nakie,Jaman hebu niambie lipi sijajibu?
Mswali ya dating za jf yanategemeana kama sina mpenzi jf maanake maswali karibia yote yanayofwata sijibu
Kuwa na positive mindset muda wote na kuchukulia kila mtu kwa namna alivyo.Nakie,
Unawezaje kuendelea kuwa humble hata kwa watu wanaokukwaza na kauli zao za kuudhi.?? Hili naomba anijibu na To yeye hivi mnawezaje..??
1. Congrats for that.1. Kwenye maisha yangu huwa sina Majuto kwa kuwa maamuzi yote ninayofanya nj kwa ajili ya furaha yangu.
2. Kumuuguza mama yangu tangu nikiwa first year hadi anafariki ndo jambo ambalo sijutii maisha. Alipata nafuu nzuri akaja kufa kwa ishu nyingine.... Na mama angu japo amepumzika lakini alikuwa ananiona namjali na kumpenda sana. Alijenga imani kiasi kwamba alikuwa haambiwi kitu kuhusu mimi.
3. Nahisi wapo maana kuna muda unakutana na ID inakutukana kama inakujua vile hadi najikuta nashangaa
😂😂😂
Wanasema Mungu anakupa wa kufanana na wewe sivyo..??
Hivyo nikikutazama naona kabisa wako atakuwa Queen wa Jukwaa la Wakubwa..!!
Hivi hivi ndio inavyoombwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeah,ni mdada poa sana kiukweli.Ila mkuu,ni kama umezunguka sana kwann usiende tu inbox[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
1. Asante love 😍1. Congrats for that.
2. Hongera sana aisee ❤️ ni raha sana kurecognize true love from our Bloved.
Mwanga wa milele uendelee kumwangazia mama Dori.
Naimani mbegu ya upendo uliyojijengea nawe utaijenga na kuitumia kwa walio karibu nawe.
3. Hao watu hawajawahi kukosekana.. em waambie kitu? Unawashauri nini? Waseme kidogo in a positive way.