Ninawachukia Hawa.....

Ninawachukia Hawa.....

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Sipendi wa dada wanaowafanya wanaume wao kama ATM, unatoka na mdada for Lunch unaishia mlipia kila kitu na hata voucher anakuomba! Kibaya zaidi unamlipia hadi Taxi

Sipendi wa Kaka wanaopiga mizinga wadada, mdada mzuri kama wewe huwezi kosa 50,000 hebu nisaidie ninashida, akipewa huwa harudishi anaendelea kupiga miziga wadada wengine.

Hebu kila mtu aishi kwa urefu wa kamba yake, mambo ya kulazimishana hata zawadi tena zile za bei mbaya kwa jinsia zote yanakera.

Mdada hata hujamjua vizuri anakuomba chain ya kiunoni...Mch kuulizia bei inafika karibu na Milioni hahahahahaha kazi kweli kweli, Mkaka naye kajuana na mdada amepata safari ya Durban unamwomba akuletee suti nyeusi ya Gucci size 42 hahahahahaha

Kila mtu ale kulingana urefu wa kamba zake kama zawadi usichague, Kama ni mapenzi kila mtu anafurahia wala hakuna anayetoa favor ebo!
 
Kwa kweli inakera sana, hasa sisi wadada kuwafanya ma BF wet kama ATM.

wanawake wengine bila kupewa na mwanaume hawaridhiki!

At the end of the day, men see all women the same, regardless you are hawker/shangingi or not. Tumejitakia wenyewe!
 
kwenye mapenzi hakunaga kukopeshana bwana Masa, huwa mnapeana tu, hapo kwenye Gucci lazima awe mr wangu kama ni bfrnd 2 achore chini...hahaha

Samahani Mpenzi mimi ni Mch, hilo la bwana ....hahahahaha achore chini jamani wakati jamaa anakupiga mzinga? umepewa designer na size na rangi loooh....utakuwaje na Mr na bfrnd?
 
Ahaaaa ahaaaa jana kuna jamaa kapigiwa simu na mdada anaambiwa "Leo birthday yangu njoo uninunulie kreti mbili za bia" jamaa nikasikia anamjibu wee chizi nini

................kwani ukininunulia utakufa jamani...? ....hela thi ni makalatathi tu?...thatha thi unipe iyo hela jamani mpendhi wangu?.....au thiku hidhi hunipendi?
 
................kwani ukininunulia utakufa jamani...? ....hela thi ni makalatathi tu?...thatha thi unipe iyo hela jamani mpendhi wangu?.....au thiku hidhi hunipendi?

Huyo lazima ni Mpare!
 
Samahani Mpenzi mimi ni Mch, hilo la bwana ....hahahahaha achore chini jamani wakati jamaa anakupiga mzinga? umepewa designer na size na rangi loooh....utakuwaje na Mr na bfrnd?

hapo kwenye u bfrnd ni wakati ule nikiwa kigori kwanza kwa ujumla nilikuwa cmnunulii zawadi mie nilikuwa nasubiri kupokea 2 hahaha, kwa sasa coz ni mr kila kisafari lazima nimjibu na ka gift hata hiyo Gucci ningemnunulia.
 
Rev:
Why can't you just say NO!!!!!!!!!!!!? I really dont understand how is that a grow a** woman/man anatoa pesa zake mifukoni with her/his own two hands and later on complain , and start playing the victim??So personally natoa wito kwa wale wote wanaofanywa ATM........................Pls do practice saying NO
 
Unajua trick inakuwa anakuomba mbele ya shosti zake! sasa kuona aibu ile NO inakuwa ni new terminology.....by the way wanaume nao wanapiga sana mizinga hasa kama dada unakazi yako ya kueleweka.....anakuvizia upo na rafikizo hahahahah
 
Onother human problem!Most of people dont like majukumu yao!Wanataka wawatwishe wengine!
 
Huyo lazima ni Mpare!

mie hakuna tabia inayonikera kama mdada kuomba credoo, yaani nachukia sana halafu ukikutana na mtu kama Masa anakutumia ya 1000, tabia mbaya sana hii na wadada wengi wao wanayo sana.
 
Swahiba Masa, na wewe wanakuchukia kweli, maana wengi wao hawajijui kwamba wanakera!!!
 
mie hakuna tabia inayonikera kama mdada kuomba credoo, yaani nachukia sana halafu ukikutana na mtu kama Masa anakutumia ya 1000, tabia mbaya sana hii na wadada wengi wao wanayo sana.

Rev Masa ukimsumbua sana anakuwekea 500 hahahaha ukizingatia uliisha niomba simu yangu usalimie wazazi lol......
 
Swahiba Masa, na wewe wanakuchukia kweli, maana wengi wao hawajijui kwamba wanakera!!!

Hahahahahah......nadhani sijui ni kasumba....hapa nazungumzia jinsia zote....nakumbuka niliishawahi piga mzinga kwa mdada fulani miaka hiyo! Ninahudhunika hadi leo
 
Unajua trick inakuwa anakuomba mbele ya shosti zake! sasa kuona aibu ile NO inakuwa ni new terminology.....by the way wanaume nao wanapiga sana mizinga hasa kama dada unakazi yako ya kueleweka.....anakuvizia upo na rafikizo hahahahah

sasa hapo ndio pa kuonyeshea ujacri wako na kukataa kwani shida kitu gani, we upo na yeye haupo na ma shost, kumbe mnayatakaga?
 
wa kwangu mimi nampenda sana ......yaani nampenda kweli na ninamfurahia sana.....tunasaidiana kweli......sana tu kwa kweli..so wapo ambao ni waelewa sana..
 
sasa ndugu Masanilo urefu wa kamba unao uongelea wewe ni upi? maana hata kupiga kirungu ama kuomba pesa pia ndio urefu wa kamba ya huyo muhusika alifaidika na kilungu hicho
ama wewe urefu wa kamba unaongelea nini zaidi,mimi nadhani swala la kutegemeana huwezi kulikwepa,umepewa wape na wenzako

mwanamume akiomba hana akipewa ndio kamba ilipofikia hapo
mwanamke akiomba hana,akipewa hata kama ni kidogo ndio urefu wa kamba ulikofikia,
ndio maidha yanavyokwenda,bila kuwepo watu wa namna hiyo maisha haya endi mkuu
 
Hahaaaaaa Masa lazima umekiokota kule nilikotokea, anapiga mizinga tena mbele ya marafiki kuna watu hawana haya.NI TABIA MBAYA SANA.

Back
Top Bottom