Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....
Mchungaji hii post ni very uziful
Iko hivi kwamba suala zima linachangiwa pia na ukware wetu si wanaume
Uzoefu unaonyesha kuwa kama 'umetembea' na mtoto wa kike yeyote hasa wa mjini, na kama ulishaonyesha uzoefu wa kuclear bills, hukawii kupigwa mzinga kama hivi"
"Switii, niazime 100,000 nimalizie ada ya mtoto, mwisho wa mwezi nakurudishia". SAHAU.
"Baby, kuna rafiki yangu nilimuahidi mchango wa kitchen party, niazime kama 80,000 nitakurudishia". SAHAU.
Cha kunote ni kwamba wako very strategic ni wakati gani wanaomba...inakuwaga pale ambapo mapenzi yapo kwen peak....na mind you, hizi zinakuwa nje ya zile variable costs kama bills za vinywaji, chakula, usafiri, mawasiliano (vocha za hapa na pale nk)
Mimi naona ni aina mpya ya 'utapeli' ulioingia mjini
tatizo, anakwambia hivyo sasa ole wako ukatae au useme sina, ujue hapo ndo mwisho wa penzi, au uthubutu kukumbushia, hapo imekula kwako,
Sasa mi najiuliza, kwa nini watu wanajidhalilisha hivyo? kwa nini utake kitu kwa gia ya kuazima badala ya kuomba kama usaidiwe tu huku ukijua kabisa huu ni mzinga?
Sio ustaaarabu kabisa...sio wadada, sio wakaka....