The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Ahahaa ahaaaa PJ................kwani ukininunulia utakufa jamani...? ....hela thi ni makalatathi tu?...thatha thi unipe iyo hela jamani mpendhi wangu?.....au thiku hidhi hunipendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaa ahaaaa PJ................kwani ukininunulia utakufa jamani...? ....hela thi ni makalatathi tu?...thatha thi unipe iyo hela jamani mpendhi wangu?.....au thiku hidhi hunipendi?
mie hakuna tabia inayonikera kama mdada kuomba credoo, yaani nachukia sana halafu ukikutana na mtu kama Masa anakutumia ya 1000, tabia mbaya sana hii na wadada wengi wao wanayo sana.
Ahaaaa ahaaa Nyamayaokwenye mapenzi hakunaga kukopeshana bwana Masa, huwa mnapeana tu, hapo kwenye Gucci lazima awe mr wangu kama ni bfrnd 2 achore chini...hahaha
Halafu Nyamayao hujakutana na mashosti wanaouliza anakupa nini huyo, muite tumchune yani huwa wananikera kabla hawajamkera aliyepangwa kuchunwa.
Halafu Nyamayao hujakutana na mashosti wanaouliza anakupa nini huyo, muite tumchune yani huwa wananikera kabla hawajamkera aliyepangwa kuchunwa.
wapo kweli hawa watu waombaji ombaji sana wa jinsia zote
lakini tusiwalaumu sana kwa sababu
mtu ukiombwa unahaki ya kukataa
kwani huwa unalazimishwa? ukimwambia no mara mbili
harudii kukuombaomba ovyo
atajiongeza kuwa wewe si ATM ila ni LOAN BOARD
unatoa kwa sababu,wakati na kwa mtu maalum tu.
I love this comment of urs...I will always be happy to help provided hakuhusiani na Kuchunana! Kumbuka nina ngozi ya Kiti moto unachuna nini sasa?
tabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.
Mchungaji Masa!
unachosema ni kweli, hapa mtaani kuna dada mmoja tuna undugu wa mbali ana tabia kama hizo ulizozisema hapo juu,
jumapili jioni kaja home akasema tutoke akampigia simu na rafiki yake wakaja tukajoin tukaenda sehemu tukaagiza vinywaji na Msosi, mara akapokea simu kutoka kwa Classmate wake aliemaliza nae chuo akamwambia nipo sehemu fulani akaja na mtu wake jumla tukawa watano, yule rafiki aliyempigia simu ambae ni classmate wake alipofka akaagiza bia na mwenzake wakanywa kama tatu tatu na bi Menu ikabidi tuongeze tukamaliza kula pale ikaja bili menu elfu 22, vinywaji elfu 25.
halafu mwanaune nilikuwa peke yangu ikabidi nitoe elfu 40 na yeye akamlizia zilizobaki...
na siku nyingine tupo madukani maeneo ya Mwenge aliiona nguo ikamvutia at that time alikuwa hana cash ya kutosha akaniomba elfu 30, nikamwazima, na muda huo tulikuwa tumechukua taxi kutoka Kijitonyama na unajua ishu a wadada akamweka jamaa zaidi ya dakika 20 jamaa akaomba aongezewe mshiko akanipiga bomu tena sh 4500...
Na ishu nyingine nilikuwa na external Hard disk320 GB, nikamwambia lipa elfu 85 uchukue mpaka leo kajikausha (HUYU DADA NINA UNDUGU NAE)
LAKINI KWA TABIA ZAKE NINA MPANGO WA KUACHA KUFUATANA NAE
hahaha kuna mmoja aliita Demu wake kuja kuinjoy na yule demu alkaenda na mashostito wake baada ya kula na kunywa jamaa akalipa bili kubwa ambayo ilimuumiza sana roho.!! akaaga anaenda wash room, kufika huko machungu yamemzidi akaanza kulia si mshikaji wake akamkuta kumuuliza kulikoni unalia chooni jamaa ikabidi aeleze tu machungu yake. kazi kweli kweli!tabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.
Thank God wewe ni mdada, Maana mwanaume wa kukimbia majukumu bado hajazaliwa.
hahahaha Labda kina Chege waje wajibu hapa. lolRaha ya kiumeni kuhongwa....imekaaje hiyo!
........Mama weeeeeeeHalafu Nyamayao hujakutana na mashosti wanaouliza anakupa nini huyo, muite tumchune yani huwa wananikera kabla hawajamkera aliyepangwa kuchunwa.
wanachochuna nini bia, vocha ,nyama choma eti kaona gauni , kiatu kizuri na mazagazaga mengine ya kujionyesha mjini naye yumo. Uwiiiiiiiiiiiii Hamna bakora hapa tutembeze.