majukmu ya kuwanywesha beer na kuchoma nyam, kweli dunia ina majukumu mengi lol, enzi zile mie mr mpaka alikuwa ananiuliza kama nina frnds coz kila tukitoka ni mie na yeye labda na frnds zake, aliwafahamia kwenye shida na raha(msiba/sherehe) cpendi kubebana kabisa mnaonekana kama waswahili wa kushinda vibarazani.
majukmu ya kuwanywesha beer na kuchoma nyam, kweli dunia ina majukumu mengi lol, enzi zile mie mr mpaka alikuwa ananiuliza kama nina frnds coz kila tukitoka ni mie na yeye labda na frnds zake, aliwafahamia kwenye shida na raha(msiba/sherehe) cpendi kubebana kabisa mnaonekana kama waswahili wa kushinda vibarazani.
hahaha kuna mmoja aliita Demu wake kuja kuinjoy na yule demu alkaenda na mashostito wake baada ya kula na kunywa jamaa akalipa bili kubwa ambayo ilimuumiza sana roho.!! akaaga anaenda wash room, kufika huko machungu yamemzidi akaanza kulia si mshikaji wake akamkuta kumuuliza kulikoni unalia chooni jamaa ikabidi aeleze tu machungu yake. kazi kweli kweli!
........Mama weeeeeee
Heeee wewe ni mdada sijajua kabisa aisee Okada]Kwa kweli inakera sana, hasa sisi wadada kuwafanya ma BF wet kama ATM.[/B]
wanawake wengine bila kupewa na mwanaume hawaridhiki!
At the end of the day, men see all women the same, regardless you are hawker/shangingi or not. Tumejitakia wenyewe!
tabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.
hahaha acha tu bi dada haya mambo bana yanahitaji ujasiri! lolhahahahaha raha sana, kumbe mnapataga tabu hivi...lol
Mie nina rafiki yangu mademu wakimfanyia hivi kuja kibao anachukia na lazima atawachukua mmojammoja bila kujijua.. yaani wasichana sijui inakuwaje hapo, unapeleka nyama mwenyewe kwa fisitabia nyingine chafu ya wadada ndio hiyo, unaitwa na bfnd wako unabeba mashoga 6 kwenda nao, kutokujiamni tu...mie ningekuwa mwanaume ningeaga naenda washroom then natokomea zangu watajua cha kufanya bill itakapowacli.
Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....
Kama unampango wa Kuachika tuwasiliane!
Unajua trick inakuwa anakuomba mbele ya shosti zake! sasa kuona aibu ile NO inakuwa ni new terminology.....by the way wanaume nao wanapiga sana mizinga hasa kama dada unakazi yako ya kueleweka.....anakuvizia upo na rafikizo hahahahah
teh teh teh Karibu Mndenyi!!hata nikiachika crudi tena kwa msukuma ntatafuta mchaga menzangu sasa kubadili hali ya hewa...hahahaha
Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....
Mchungaji hii post ni very uziful
Iko hivi kwamba suala zima linachangiwa pia na ukware wetu si wanaume
Uzoefu unaonyesha kuwa kama 'umetembea' na mtoto wa kike yeyote hasa wa mjini, na kama ulishaonyesha uzoefu wa kuclear bills, hukawii kupigwa mzinga kama hivi"
"Switii, niazime 100,000 nimalizie ada ya mtoto, mwisho wa mwezi nakurudishia". SAHAU.
"Baby, kuna rafiki yangu nilimuahidi mchango wa kitchen party, niazime kama 80,000 nitakurudishia". SAHAU.
Cha kunote ni kwamba wako very strategic ni wakati gani wanaomba...inakuwaga pale ambapo mapenzi yapo kwen peak....na mind you, hizi zinakuwa nje ya zile variable costs kama bills za vinywaji, chakula, usafiri, mawasiliano (vocha za hapa na pale nk)
Mimi naona ni aina mpya ya 'utapeli' ulioingia mjini
tatizo, anakwambia hivyo sasa ole wako ukatae au useme sina, ujue hapo ndo mwisho wa penzi, au uthubutu kukumbushia, hapo imekula kwako,
Sasa mi najiuliza, kwa nini watu wanajidhalilisha hivyo? kwa nini utake kitu kwa gia ya kuazima badala ya kuomba kama usaidiwe tu huku ukijua kabisa huu ni mzinga?
Sio ustaaarabu kabisa...sio wadada, sio wakaka....