Najua mpenzi ila ye wakati yuko bize kutongozeka kwa mume wa mtu si ajabu wakumfaa yeye anampita hivi hivi anaona.Matatizo mengine hua ni ya kujitakia...my dear....mume haibiwi, labda iwe alimfunga kamba akatoroka nae, kama wametongozana wenyewe na akili zao timamu nikupambana na huyo mume anaejua ana majukumu lakini bado anaona ahangaike na kuvuliana vichupi huko nje, hakuna anaeibwa labda awe hana aliki nzuri.
Nani Kakudanganya mimi Msukuma?
Hebu nipe uzoefu uliishawahi pigwa mzinga na Mwanaume?
Najua mpenzi ila ye wakati yuko bize kutongozeka kwa mume wa mtu si ajabu wakumfaa yeye anampita hivi hivi anaona.Matatizo mengine hua ni ya kujitakia...
Duh hii sred imenipitaje mmbea mie?? Hata sijui
Nimechekaje.....I used to think kuwa nina kilema flani kushindwa kufanya baadhi ya mambo, kumbe am lucky, very lucky aisee.
Mmesahau na zile mtu anajifanya amesahau kuchukua pochi/wallet yenye pesa na kadi za ATM anakuomba umuazime atakurudishia akirudi home.
Kumbe wewe ni wale wale wa Mizinga Nyama Yao!
Ila kusema za ukweli, mi mwanamke asiponipiga mzinga kidogo sijisikii raha.
Raha ya mwanaume kuchunwa bana::mimba::mimba:
Nimekoma, sitakukopa tena.... Kumbe nikikukopa unakuja kunianika huku.
Mwone kwanza.
Ila kusema za ukweli, mi mwanamke asiponipiga mzinga kidogo sijisikii raha.
Raha ya mwanaume kuchunwa bana::mimba::mimba:
na unawapaga kama ngapi? icje ikawa unawatumia credoo za 1000 then unajiona nawe umechunwaaaa...
Hivi mizinga ina viwango? Kuchunwa kuchunwa tu!na unawapaga kama ngapi? icje ikawa unawatumia credoo za 1000 then unajiona nawe umechunwaaaa...
Ila pale umefanya nini? Manake umenifunua nguo zote nimebaki uchi..... siku ile ni kweli nlisahau wallet na sikutoka na ATM card....kumbe hukuniamini? Mwone vile....Hahahahha Babu unanionea mie sijakuanika bana.........................
Hehehehe.....unaendelea kunianika siyo? Ila mjukuu akilipa bili anapanda cheo na kuwa mjukuu mtiifu......Ndio maana unakuwaga mkali Bibi akitaka kulipa bili eh??
msukuma ananipigaga mizinga but na mie najua tarehe kama hizi narudisha na riba, so tunapigana mizinga wote.
una maakili ww! raha ya mizinga kugongesheana! mi huwa nashangaa mwanamke anayemkopesha hela mumewe,lol!
Mi napenda tu mtu ajue kabisa nahitaji na ataona tu ila mzito sana kuombaomba na nikiwa nahitaji nitafanya kila mbinu mpaka itoke bila mtu kuhisi kapigwa mzingaMimi napiga mizinga kiakili....si Mara kwa mara pale inapobidi! Nategemea hata upande wa pili....usiwe na mizinga ya kijinga
Na waume wanaojua majukumu yao raha sana, utasikia hiki nikubadilishie mke wangu, hiki haufanani nacho mke wangu, nimeona hiki nikaamua nikuletee umekipenda, mara niko hapa Maryrose nikuletee nini weweeeeeee acha tu, hapo utapata muda gani wa kupiga mzinga?my dear....mume haibiwi, labda iwe alimfunga kamba akatoroka nae, kama wametongozana wenyewe na akili zao timamu nikupambana na huyo mume anaejua ana majukumu lakini bado anaona ahangaike na kuvuliana vichupi huko nje, hakuna anaeibwa labda awe hana aliki nzuri.
Hahahahahaha wapo dear, ila hii sioni kama tatizo kama wewe unazo kuliko yeye, na ni kweli yuko matatizoniuna maakili ww! raha ya mizinga kugongesheana! mi huwa nashangaa mwanamke anayemkopesha hela mumewe,lol!
una maakili ww! raha ya mizinga kugongesheana! mi huwa nashangaa mwanamke anayemkopesha hela mumewe,lol!