Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Najua mpenzi ila ye wakati yuko bize kutongozeka kwa mume wa mtu si ajabu wakumfaa yeye anampita hivi hivi anaona.Matatizo mengine hua ni ya kujitakia...my dear....mume haibiwi, labda iwe alimfunga kamba akatoroka nae, kama wametongozana wenyewe na akili zao timamu nikupambana na huyo mume anaejua ana majukumu lakini bado anaona ahangaike na kuvuliana vichupi huko nje, hakuna anaeibwa labda awe hana aliki nzuri.