Hahahahahaha wapo dear, ila hii sioni kama tatizo kama wewe unazo kuliko yeye, na ni kweli yuko matatizoni
Kingasti we hujawahi kudaiwa wewe.mizinga wapi?
Riba ni kuhakikisha anamrusha hewani tu!na kumfurahishasasa wanaandikishiana kabisa na kujua atarudisha na riba shs ngapi na akiikosa kunirudishia nampeleka polic?..lol....dunia ina vijimambo hii, kama yupo matatizoni ni sawa kabisa kumpatia, huwa tunawapa tu sio kumkopesha jamani....
Wifi embu nifundishe maujanja!!mi siwezi kukopeshana hela na mwenza wangu,bora nikakope kwa mshkaji! nitampa ila siku atakayolipa wala hatajua kama keshalipa deni,akili kumkixhwa bana!
Riba ni kuhakikisha anamrusha hewani tu!na kumfurahisha

halafu cjui unaanzaje kumdai, ndio mana nikasema kwenye mapenzi hakunaga kukopeshana kuna kupeana coz mtafikia mahali mtakapeshana mpaka kitandani sasa...inanikumbusha frnd wangu alikuwa anajua mr wake ana hawara nje bac cku akichelewa urudi anahic ndio ametokea huko wakiwa wamelala mr akitaka haja anaambiwa leo una shs ngapi, naanzia laki coz najua ulikotoka umetoa zaidi hahahaha nilikuwa cnaga mbavu na hili game.
Rev:
Why can't you just say NO!!!!!!!!!!!!? I really dont understand how is that a grow a** woman/man anatoa pesa zake mifukoni with her/his own two hands and later on complain , and start playing the victim??So personally natoa wito kwa wale wote wanaofanywa ATM........................Pls do practice saying NO
Wifi embu nifundishe maujanja!!
wifi weeh tulia tu,kitchen party yako tunamalizana wenyeewe! wakati yy anajisifia wife ananihong,sie tunagonga na kucheka (zile sign language za mkjj,lol!)

Hahahahahaha wapo dear, ila hii sioni kama tatizo kama wewe unazo kuliko yeye, na ni kweli yuko matatizoni

Hhahahahha!

Wifi nipe elimu bwana na mie nataka kua mpiga mizinga wa kisirisiri...

Riba ni kuhakikisha anamrusha hewani tu!na kumfurahisha
Rev:
Why can't you just say NO!!!!!!!!!!!!? I really dont understand how is that a grow a** woman/man anatoa pesa zake mifukoni with her/his own two hands and later on complain , and start playing the victim??So personally natoa wito kwa wale wote wanaofanywa ATM........................Pls do practice saying NO
ukishaona kuna kukopeshana kuaminiana hakuna tena. ila sasa kuna mwanaume unampa hela hadi za ku-maintain small house. na hao wezi wa kike wabaya kweli,hakawii kukupigia kabisa kukutambia ile milioni alikuomba wakati ule ilikuwa kodi yangu! ukishaona mambo halijojo ndo kunakuwa na zangu na zako,ila kama uko makini unafanya saccoss kabisaa, akichukua laki unajitwalia laki 3,hehehe!

Kusema NO wakati mwingine kunapunguza heshima!
Mkuu niko upande wako,
bora hata wewe umeweza kusema, mi nilidhani nikiwambia watu wataniona mchoyo kiaina.
kweli hata mimi inaniboa kwa pande zote mbili,
wakaka wengine yeye hawezi hata kukununulia soda lakini utashangaa linakuja kwako akikuta wine au kinyaji chochote anachukua,tena bora anywee hapo hapo anaondoka na chupa yote eti anaenda nywea kwake, kama ni chupa ya wine hata iko nusu anabeba bila kujua hata umeitoa wapi ni uungwana huo kweli?
Watu wengine wajifunze kua na huruma na kuheshimu vitu vya wenzao.
Unamuangalia tu unashindwa hata kumuelewa.
unamuangalia tu? kwann, kibo mie ningemwambia hakuna kuondoka nayo kama hawezi kjimiminia kwenye glass na atulie, tena ukute ndio nimebakiwa nahako kachupa ka1 ndio kabisa, kuna watu wana mitabia michafu kweli yaani wewe ukute mtu kajinunulia vinywaji vyake ndani ubebe ukanywee kwako bila idhini?
Nahisi wewe unaroho mbaya tena ya Korosho! Inabidi unajichekesha chekesha hata akiondoka na nusu chupa.....ladies manners!
hakuna mwanaume asiehonga wala asiyependa kuhonga
ishu sio kuhonga ishu ni kuchunwa