Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Hahahahahaha wapo dear, ila hii sioni kama tatizo kama wewe unazo kuliko yeye, na ni kweli yuko matatizoni
sasa wanaandikishiana kabisa na kujua atarudisha na riba shs ngapi na akiikosa kunirudishia nampeleka polic?..lol....dunia ina vijimambo hii, kama yupo matatizoni ni sawa kabisa kumpatia, huwa tunawapa tu sio kumkopesha jamani....