Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
AnonymousPole sana binadamu mwingine huyu hapa ame comment
ilaπππPunguza nyeto binti yangu
Aliekwambia nanyetuka naniπPunguza nyeto binti yangu
Upo tayar nikusaidie katika hili? Nikuahidi hutojutakatika mahusiano ya kimapenzi inachukua muda mno kujiunganisha na mtu kihisia
Asante kwa kweli, matarajio nilishaacha kitambo sana⦠na ndio yalikuwa yananiumiza. Kwa sasa nipo sawa tu..pole ndugu.
kusema ukweli maisha kwa ujumla wake hayatakuwa maisha isipokuwa uwepo ws binadamu mwenzetu.
ingawa kwa asili kila mtu ni mbinfsi, kwamba nitapata nini kwako na si wewe utapata nini kwangu.
kwa jinsi hio tumekuwa sababu ya kuumia kwa wengi pale tunapopata matokeo yaliokinyume na matarajio.
hata hivyo unaweza kuishi na watu vuzuri bila ya wewe kupata adha pale tu utakapoacha kutarajia chochote kutoka kwa mtu, lakini pia wewe ukiwa wa kwanza kumpa mtu kile akitakacho kwako ikiwa ki ndani ya uwezo wako.
Ndio Mama Pretty, Pretty hajambo na Baba yake wote wazima?, umekutana na binadamu Mimi 'anonymous' fundi wa kutundika daruga na kuzitikisa kamba ngumuAnonymous
Kanifanya nicheke sanaaa πππilaπππ
Kimombo kimenitia njaa, asante kwa ushauriLife is one big road with a lots of signs.
so when you riding through the ruts don't complicate your mind. free from hate, mischief and jealous. Don't bury your thoughts put your vision to reality
Hio imekaa poa sana mkuu, nimekuelewaLife is one big road with a lots of signs.
so when you riding through the ruts don't complicate your mind. free from hate, mischief and jealous. Don't bury your thoughts put your vision to reality
Asante, nipo sawa kwa sasaUpo tayar nikusaidie katika hili? Nikuahidi hutojuta
Binadamu washakukata nini?Twende tukamuombe elon musk ufadhili akatuache kwenye sayari ya pluto anavyoenda mwezini mwaka ujao maana mwenyewe binadamu washanikata mudi aisee
Nieleze boss wangu, ila nini?πilaπππ
Jamani mdogo wanguNimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu.
Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu.
Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe hatari mno.
Ninaogopa watu, ninaogopa miunganisho mipya, hata katika mahusiano ya kimapenzi inachukua muda mno kujiunganisha na mtu kihisia.
Sina imani na kiumbe binadamu kwenye nyanja zote za kimaisha! Japokuwa haiwezekani, lakini ninatamani niishi mahali nisiyoweza kukutana na binadamu.πππ