Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

Wageni wakija home nitawasalimia then nachimba chumbani
Mama ameongea mpk kachoka
Bora wewe unatoka kuwasalimia… mimi nikiskia mgeni najifungia.. hata wakae siku nzima sitoki ndani.. nitatoka wakishaondoka. Mama amegomba sana hiyo tabia
 
Umri ukienda unaona kila mtu anazingua ndo maana wazee huwa wanataka kukaa peke yao kwahiyo usijali ni mabadiliko ya utuuzima kuingia uzeeni
Mimi sio mshangazi jamani😩😩😅😅
 
Back
Top Bottom