Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Feb 26, 2024 Thread starter #101 ephen_ said: Wageni wakija home nitawasalimia then nachimba chumbani Mama ameongea mpk kachoka Click to expand... Bora wewe unatoka kuwasalimia… mimi nikiskia mgeni najifungia.. hata wakae siku nzima sitoki ndani.. nitatoka wakishaondoka. Mama amegomba sana hiyo tabia
ephen_ said: Wageni wakija home nitawasalimia then nachimba chumbani Mama ameongea mpk kachoka Click to expand... Bora wewe unatoka kuwasalimia… mimi nikiskia mgeni najifungia.. hata wakae siku nzima sitoki ndani.. nitatoka wakishaondoka. Mama amegomba sana hiyo tabia
Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Feb 26, 2024 Thread starter #102 Lucha said: Umri ukienda unaona kila mtu anazingua ndo maana wazee huwa wanataka kukaa peke yao kwahiyo usijali ni mabadiliko ya utuuzima kuingia uzeeni Click to expand... Mimi sio mshangazi jamani😩😩😅😅
Lucha said: Umri ukienda unaona kila mtu anazingua ndo maana wazee huwa wanataka kukaa peke yao kwahiyo usijali ni mabadiliko ya utuuzima kuingia uzeeni Click to expand... Mimi sio mshangazi jamani😩😩😅😅
Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Feb 26, 2024 Thread starter #103 MK254 said: Na wewe pia tunakuogopa hivyo hivyo. Click to expand... Tunaogopana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 26, 2024 #104 Mama pretty said: Hilo somo lingine Click to expand... Ukija nitakufundisha, huna haja ya kukutanisha vikojoleo na mwingine
Mama pretty said: Hilo somo lingine Click to expand... Ukija nitakufundisha, huna haja ya kukutanisha vikojoleo na mwingine