Ninawaomba DStv wajitafakari kwa kupandisha gharama zao kila kukicha

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.

Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
 
Nadhani wanatapunguza kufikia oktaba kwani imenunuliwa na mmliki mpya ambaye ni canal sport
 
Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.

Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
Nunua router za mitandao ya simu ulipie unlimited ule vitu latest, achana na hao wajanja wajanja dstv
 
Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.

Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
Ubovu Azam wame-base kwenye MAUDHUI yenye ladha ya Kituruk, Kiarab na Kihindi. And that's a drawback.
 
Mtu yeyote Mjinga hutupia lawama Dstv,ila akiambiwa serikali yako inayooongozwa na wajinga ndiyo chanzo Cha Dstv kupandisha vifurushi !,Serikali yenu hamtaki kuikaba na kuihoji,mmekomaa kuwahoji Dstv !

Ni kama Wapumbavu wanaokomaa na TRA kuhusu Kodi ya Content creators,wao TRA ni kusimamia Sheria ya ukusanyaji mapato,aliyetunga na kupendekeza Sheria za Kijinga ni wabunge mazwazwa,ila mnaacha kuwahoji hao mazwazwa mnakomaa na TRA !

WATANZANIA NI WAJINGA MNOOO
 
Hivi kumbe kuna watu bado mnalipia Dstv kuangalia Mpira?

Smart TV unaconnected na WiFi yako ya Ttcl 55,000 tu unaangalia 90% ya Channel zinazolipiwa kwa Free mwezi mzima, hata ukitaka kudownload Dunia ni wewe tu!
🤔Kupitia programme ipi mkuu? Yaani bila kisimbuzi cha aina yoyote? Au bila hata analogue dish? Au mimi ndo bado sijatoka mshamba

Au unastream kwenye YouTube ya kila channel?
 
Kuna applications nyingi sana kama , OnStream – Watch Free Movies & TV Shows in HD on any device., CricFy TV APK v5.6 (New Update) – Download Official Latest [2025] - CricFy.Net, https://www.plex.tv/na websites kama fawanews.com WatchSeries - Watch Movies Online - TV Show Online Free Streaming full Episodes, nk
 
Hivi kumbe kuna watu bado mnalipia Dstv kuangalia Mpira?

Smart TV unaconnected na WiFi yako ya Ttcl 55,000 tu unaangalia 90% ya Channel zinazolipiwa kwa Free mwezi mzima, hata ukitaka kudownload Dunia ni wewe tu!
Kwenye streams utakua unaangalia mipira recoded, sio live.. pili utakosa uchambuzi na urahisi wa kubadili mipira unayotaka. Pia muda mwengine huwezi pata mechi zote. Vile vile hizo gharama utakazotumia kulipia bando hazitopishana sana na zile za kifurushi.

And ofcoarse sio mipira tu tunayofata kwenye dstv, kuna michezo na shows nyingi za kufuatilia..
 
Na bado soon compact itakuw 68000tsh. Ni vile tu mshindani kakomaa na local contents
 
Back
Top Bottom