Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kwanini uhangaike nao wakati ving'amuzi vipo vingi tu? Ninyi mnao lialia ndio mnaofanya waongeze bei kila siku maana wanajua mtalialia lakini mtanunua. Lakini ukipiga kimya na kifurushi hununui, watajiongeza!!!Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.
Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.