Nadhani wanatapunguza kufikia oktaba kwani imenunuliwa na mmliki mpya ambaye ni canal sportImekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.
Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
hii unaangaliaje mpira mkuu /Hivi kumbe kuna watu bado mnalipia Dstv kuangalia Mpira?
Smart TV unaconnected na WiFi yako ya Ttcl 55,000 tu unaangalia 90% ya Channel zinazolipiwa kwa Free mwezi mzima, hata ukitaka kudownload Dunia ni wewe tu!
Nunua router za mitandao ya simu ulipie unlimited ule vitu latest, achana na hao wajanja wajanja dstvImekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.
Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
Ubovu Azam wame-base kwenye MAUDHUI yenye ladha ya Kituruk, Kiarab na Kihindi. And that's a drawback.Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani.
Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV hapa nchini ili wateja wapate unafuu wa bei ya king'amuzi cha DSTV. Wametuchosha.
Uzungu ni ukafirUbovu Azam wame-base kwenye MAUDHUI yenye ladha ya Kituruk, Kiarab na Kihindi. And that's a drawback.
Huu ndio ukweli, ni kama hawana mpango wa kuongeza wateja wapya.DSTV inaonekana wateja wanapungua kwahiyo mliopo lazima mfukie mashimo...
🤔Kupitia programme ipi mkuu? Yaani bila kisimbuzi cha aina yoyote? Au bila hata analogue dish? Au mimi ndo bado sijatoka mshambaHivi kumbe kuna watu bado mnalipia Dstv kuangalia Mpira?
Smart TV unaconnected na WiFi yako ya Ttcl 55,000 tu unaangalia 90% ya Channel zinazolipiwa kwa Free mwezi mzima, hata ukitaka kudownload Dunia ni wewe tu!
Kuna applications nyingi sana kama , OnStream – Watch Free Movies & TV Shows in HD on any device., CricFy TV APK v5.6 (New Update) – Download Official Latest [2025] - CricFy.Net, https://www.plex.tv/na websites kama fawanews.com WatchSeries - Watch Movies Online - TV Show Online Free Streaming full Episodes, nk🤔Kupitia programme ipi mkuu? Yaani bila kisimbuzi cha aina yoyote? Au bila hata analogue dish? Au mimi ndo bado sijatoka mshamba
Au unastream kwenye YouTube ya kila channel?
Kwenye streams utakua unaangalia mipira recoded, sio live.. pili utakosa uchambuzi na urahisi wa kubadili mipira unayotaka. Pia muda mwengine huwezi pata mechi zote. Vile vile hizo gharama utakazotumia kulipia bando hazitopishana sana na zile za kifurushi.Hivi kumbe kuna watu bado mnalipia Dstv kuangalia Mpira?
Smart TV unaconnected na WiFi yako ya Ttcl 55,000 tu unaangalia 90% ya Channel zinazolipiwa kwa Free mwezi mzima, hata ukitaka kudownload Dunia ni wewe tu!
Naunga mkono hojaUbovu Azam wame-base kwenye MAUDHUI yenye ladha ya Kituruk, Kiarab na Kihindi. And that's a drawback.