Ninawaomba DStv wajitafakari kwa kupandisha gharama zao kila kukicha

Kwanini uhangaike nao wakati ving'amuzi vipo vingi tu? Ninyi mnao lialia ndio mnaofanya waongeze bei kila siku maana wanajua mtalialia lakini mtanunua. Lakini ukipiga kimya na kifurushi hununui, watajiongeza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…