Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za CCM tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za CCM kwenye ofisi zao pale Lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kisha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za ccm kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Mie nipo Dar, natoka kesho niende pale Lumumba nikaichane chane pale, chama gani kinaunga mkono wezi serikalini badala ya kuwapinga.
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za ccm kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Nje ya utawala wa CCM kuna:-

1)Ukabila
2)Ukanda
3)Udini
4)Ugaidi wa kidini
5)Ugaidi wa KIKOMUNISTI
6)Siasa za kihafidhina

#SiempreCCM[emoji120]
 
Vijana wanapambani kupata kadi, nyie rudisheni tu CCM kama la masia wana academy hatari, vijana wapya kila mwaka.
 
Kadi hazipigi kura, wacha wakae nazo kuna mahala uwa zinasaidia. Kuwa na kadi ya chama cha mapinduzi hakuna tofauti na kuwa na card ya bank iliyo expire.
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Kuna kadi mil 4 za ccm ziko mfuko wa Shati , muda wowote kuanzia sasa zinarejeshwa
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa[emoji419][emoji375]
 
Vijana wanapambani kupata kadi ,nyie rudisheni tu CCM kama la masia wana academy hatari ,vijana wapya kila mwaka .
Mbona unaandika kama u mwanachamma wa Upinde party, na tigo yako imechakazwa vibaya na mb...oo
 
Acha chuki zako za hovyo wanachama wa CCM tupo imara na tunasonga mbele kuimarisha uchumi wa nchi nani kama mama.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom