Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Thubutu yenu!! Hakuna wa kumtoa Samia mpaka 2030 ambapo Katiba haimruhusu.

Uzuri wa Samia mwenyewe amegundua tatizo la Mtwara na hakutaka kuremba, amelisahihisha kwamba DC na DED hawatekelezi majukumu yao ipasavyo na kusababisha wananchi kurudisha kadi za CCM. Huo ndiyo uongozi
 
acha utoto
Wewe ndio una akil za kitoto , unakaaje na kadi ya chama hakikupi elimu ya ukweli ya mikataba inayoingia na wageni pia inakuficha hata usijue mikataba yake na wageni
 
Nje ya utawala wa CCM kuna:-

1)Ukabila
2)Ukanda
3)Udini
4)Ugaidi wa kidini
5)Ugaidi wa KIKOMUNISTI
6)Siasa za kihafidhina

#SiempreCCM[emoji120]
Vyote vipo ndani ya CCM, angalia njia wanazotumia ccmu kulinda mkataba wao udini na ukabila
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Hii nimeipenda!
Hebu tujaribu, mana njia ya sanduku hatutoboi kamwe!
 
Nchi ya ajabu sana, yaani rais kashtuka na kureact fasta kwa watu kurudisha kadi za CCM halafu ripoti ya CAG hajareact chochote as hamna kilichotokea pamoja na wizi wote uliorodheshwa kwenye ile ripoti!
 
Nje ya utawala wa CCM kuna:-

1)Ukabila
2)Ukanda
3)Udini
4)Ugaidi wa kidini
5)Ugaidi wa KIKOMUNISTI
6)Siasa za kihafidhina

#SiempreCCM[emoji120]
Handsome Boy CBE umerudi kwa kasi sana!
 
Mnaweza kufanikiwa SWALI la kujiuliza baada ya hapo nini kitafuata? Inawezekana CHAMA chenu kikashika hatamu je, mtaweza kuwaridhisha watu wote?

Muhimu hapa ni nia njema jambo hili halina nia ovu hata moja.
 
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo

Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za CCM tu kurudishwa kwenye ofs zao

Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za CCM kwenye ofisi zao pale Lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa

Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kisha ataachia ngazi fasta

Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Wengine tulirudisha 1989 baada ya kujaza fomu za kujiunga na chuo maana ilikuwa haiwezekani uchaguliwe kujiunga bila kadi hiyo. Mfumo mbaya sana
 
Back
Top Bottom