Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

Tena watu wa Arusha warudishe kwa sababu maji yamepandishwa hizo Ankara balaa.

Huko Meru mkuu wa wilaya kafanyiwa vurugu kisa bei kandamizi za maji na kubambikia bili
 
Back
Top Bottom