Mie nipo Dar, natoka kesho niende pale Lumumba nikaichane chane pale, chama gani kinaunga mkono wezi serikalini badala ya kuwapinga.Watanzania anzeni kurudisha kadi za ccm kwa Ma DC haraka iwezekanavyo
Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao
Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa
Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Waliorudisha kadi huko Mtwara ni UMRI wa Baba na Babu yako itakuwa mimi wa 1990acha utoto
Nje ya utawala wa CCM kuna:-Watanzania anzeni kurudisha kadi za ccm kwa Ma DC haraka iwezekanavyo
Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao
Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa
Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Utakuja muda gani tukupokee?!!!Mie nipo Dar, natoka kesho niende pale Lumumba nikaichane chane pale, chama gani kinaunga mkono wezi serikalini badala ya kuwapinga.
CCM si ya mchezomchezo... kalaghabaho zao [emoji1787][emoji1787]Vijana wanapambani kupata kadi ,nyie rudisheni tu CCM kama la masia wana academy hatari ,vijana wapya kila mwaka .
Kuna kadi mil 4 za ccm ziko mfuko wa Shati , muda wowote kuanzia sasa zinarejeshwaWatanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo
Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao
Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa
Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Kawaida ya mtoto unamwacha si unajua ni utoto tu na hauna madhara.acha utoto
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa[emoji419][emoji375]Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo
Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za ccm tu kurudishwa kwenye ofs zao
Na ili bandari zetu zipone, dawa ni ndogo sana, ni kurudisha kadi za ccm kwenye ofsi zao pale lumumba na kwenye ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa
Jambo hilo halitamuacha salama Rais wetu na kusha ataachia ngazi fasta
Hongera wananchi wa Mtwara kufanya tukio hilo la kishujaa na kuigwa
Mbona unaandika kama u mwanachamma wa Upinde party, na tigo yako imechakazwa vibaya na mb...ooVijana wanapambani kupata kadi ,nyie rudisheni tu CCM kama la masia wana academy hatari ,vijana wapya kila mwaka .
mjingamimi unadhani tutakubali tena upuuzi wenuunafikiri ccm wanategemea kadi yako kuingia magogoni?