MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==