MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Itabadilisha nini?Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==
Mzee wa pajamaHuyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==
Kwa taarifa yako CCM wanamhitaji Lissu kwasababu wanajua ni mtu wa mihemko,hana mipango hana subira hajui siasa.Wewe hukustahili kuwa hata hapo ulipo.
Unalijua hilo!!??
MaCCM ambao wote ni Pro-Mbowe hamuwezi kuwapa credit Team Lissu.
Wale vijana wawili wa Lissu ni mara 10000000 zaidi ya uongozi mzima wa UVCCM.
Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==
Nimemuonyesha mdada mhudumu wa hapa Junction Park huu mchango wako, amecheka kweli kwa dharau.Kwa taarifa yako CCM wanamhitaji Lissu kwasababu wanajua ni mtu wa mihemko,hana mipango hana subira hajui siasa.
Wangalau cdm kwa sasa wamerudisha ladha ya siasa za ushindani, maana chaguzi za nchi zimegeuka ni za ushindani wa kishenzi. Hizi ndio aina ya siasa za ushindani tunavyotaka ziwe.Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Mbowe.
View: https://www.instagram.com/reel/DEcq1qQKPYD/?igsh=MWxyazhjcXFlanl0ZA==
Tatizo linakuja kwanini wavuane nguo kiasi kile au ndo demokrasia??Wangalau cdm kwa sasa wamerudisha ladha ya siasa za ushindani, maana chaguzi za nchi zimegeuka ni za ushindani wa kishenzi. Hizi ndio aina ya siasa za ushindani tunavyotaka ziwe.
Wagombea watakuwa na siku yao, hao ni midahalo ya utangulizi.Tatizo linakuja kwanini wavuane nguo kiasi kile au ndo demokrasia??
Alafu mdahalo kwanini washiriki wapambe badala ya wagombea??