Ninawapongeza keyboard warriors wote kwa kutunza amani

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Nitakuwa mbinafsi nisipochukua hatua ya kuwapongeza keyboard warriors wote humu nchini hasa hapa JamiiForums kwa kuishia kubwabwaja mitandaoni na sio kufanya matukio maovu kama yanayofanywa na vijana wa nchi jirani.

Ninawasihi keyboard warriors waendelee kulinda amani ya nchi kwa wivu mkubwa. Wanayoandika mitandaoni mengi huwa yanafanyiwa kazi na serikali ya chama pendwa CCM. KAMWE TUSISHIRIKI MAANDAMANO YENYE NIA OVU KWA TANZANIA YETU. Maandamano ya ekaristi na mengine ya amani yanatosha.
 
Keyboard Worriors.
 
MSichojua ni kwamba huyu bibi sio Magufuli hana popularity hio..

So watu wanavuta mda tu..mtaona..

Sijawai ona Rais asispendwa kama huyu!
 
Nami nawapongeza sana kwa hilo wakiongozwa na Erythrocyte!
 
MSichojua ni kwamba huyu bibi sio Magufuli hana popularity hio..

So watu wanavuta mda tu..mtaona..

Sijawai ona Rais asispendwa kama huyu!
Ni kweli hapendwi na watu wajinga wajinga kama wewe.
 
Back
Top Bottom