MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Keyboard Worriors.Nitakuwa mbinafsi nisipochukua hatua ya kuwapongeza keyboard warriors wote humu nchini hasa hapa JamiiForums kwa kuishia kubwabwaja mitandaoni na sio kufanya matukio maovu kama yanayofanywa na vijana wa nchi jirani.
Ninawasihi keyboard warriors waendelee kulinda amani ya nchi kwa wivu mkubwa. Wanayoandika mitandaoni mengi huwa yanafanyiwa kazi na serikali ya chama pendwa CCM. KAMWE TUSISHIRIKI MAANDAMANO YENYE NIA OVU KWA TANZANIA YETU. Maandamano ya ekaristi na mengine ya amani yanatosha.
Maandamano yote yanalenga kuleta mabadilikoKAMWE TUSISHIRIKI MAANDAMANO YENYE NIA OVU KWA TANZANIA YETU.
Nami nawapongeza sana kwa hilo wakiongozwa na Erythrocyte!Nitakuwa mbinafsi nisipochukua hatua ya kuwapongeza keyboard warriors wote humu nchini hasa hapa JamiiForums kwa kuishia kubwabwaja mitandaoni na sio kufanya matukio maovu kama yanayofanywa na vijana wa nchi jirani.
Ninawasihi keyboard warriors waendelee kulinda amani ya nchi kwa wivu mkubwa. Wanayoandika mitandaoni mengi huwa yanafanyiwa kazi na serikali ya chama pendwa CCM. KAMWE TUSISHIRIKI MAANDAMANO YENYE NIA OVU KWA TANZANIA YETU. Maandamano ya ekaristi na mengine ya amani yanatosha.
Ni kweli hapendwi na watu wajinga wajinga kama wewe.MSichojua ni kwamba huyu bibi sio Magufuli hana popularity hio..
So watu wanavuta mda tu..mtaona..
Sijawai ona Rais asispendwa kama huyu!
Ukiongozwa na ww chawa ambae hufikirii vitukuu vyako vitaishije hapo baadae bali unawaza tumbo lako litajambaje kesho..stupid man!Ni kweli hapendwi na watu wajinga wajinga kama wewe.