Uchaguzi 2020 Ninawapongeza WanaCHADEMA wa Jimbo la Segerea kwa kumkataa John Mrema na kumpa Agnesta Lambert

...Kwa kuwa fomu ilikuwa mojayombo vya juu , vingekasimu masuala yote kwa Kamati Kuu. Vinginevyo mambo yote yaliyokuwa yanafanyika ilikuwa usanii mtupu!

Ni mchakato wa kidemokrasia. Mbona Sumaye alipigwa chini uenyekiti kanda ya pwani japo hakuwa na mshindani!
 
Kwani wewe siulifukuzwa chadema kwa tabia zako za udokozi? Yanini kuendelea kuifuatilia cdm?
 
Kule alifukuzwa kwa wizi
CHADEMA iko Moyoni Mwako na CCM iko tumboni mwako.

Maandiko yako yanathibitisha bado una mahaba ya dhati kwa CHADEMA.

Sio vibaya ukirudi ulipotoka!
 
Mwendo huu ni mpaka kwenu nyie viazi wa CCM hapo October!

Halafu,guess what,karibia asilimia 70 ya wagombea wetu wote watakua wanawake!

Sasa pambaneni na nguvu ya akina mama muone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…